Popular posts from this blog
General Bible Teaching
BIBLIA
8/4/2023 mwanangu, kama wewe utapokea maneno yangu, na uyafiche sheria zangu ndani yako, ikiwa utayatafuta maneno na sheria zangu kama pesa, na utafute kama mali, basi utakuja kuelewa namna ya kuMuogopa YAHWEH, na utapata ujuzi kutoka kwa MUNGU. proverbs 2 : 1 - 5 7/4/2023 maNabii waliwaambia, kila mtu ageuke kutoka kwa tabia ya kutenda uovu, na kutoka kwa mbinu mbaya mlizoanzisha, na mtaishi katika ardhi ambayo YEHOVAH amewapea. na musiende kuabudu na kutumikia miungu mingine, na msinichokoze ili nikasirike na kazi ya mikono yenu, halafu sitawaadhibu. hata hivyo hamkunisikia, asema MUNGU, lakini sasa mumenikasirisha na kazi ya mikono yenu na sasa mutaumia. Jeremiah 25 : 5 - 7 6/4/2023 lakini kwa wale wenye ugomvi na fitina na wasioheshimu ukweli, halafu wanakubali kutenda dhambi, kwa wao kutakuwa na hasira na ghadhabu kutoka kwa MUNGU. mateso, maumivu na uchungu itakuwa juu ya nafsi ya kila mtu anayetenda uovu. Romans 2 : 8 - 9 5/4/...