BIBLIA

8/4/2023
mwanangu, kama wewe utapokea maneno yangu, na uyafiche sheria zangu ndani yako, 

ikiwa utayatafuta maneno na sheria zangu kama pesa, na utafute kama mali, 

basi utakuja kuelewa namna ya kuMuogopa YAHWEH, na utapata ujuzi kutoka kwa MUNGU. 

proverbs 2 : 1 - 5

7/4/2023 
maNabii waliwaambia, kila mtu ageuke kutoka kwa tabia ya kutenda uovu, na kutoka kwa mbinu mbaya mlizoanzisha, na mtaishi katika ardhi ambayo YEHOVAH amewapea. 

na musiende kuabudu na kutumikia miungu mingine, na msinichokoze ili nikasirike na kazi ya mikono yenu, halafu sitawaadhibu.

hata hivyo hamkunisikia, asema MUNGU, lakini sasa mumenikasirisha na kazi ya mikono yenu na sasa mutaumia. 

Jeremiah 25 : 5 - 7

6/4/2023
lakini kwa wale wenye ugomvi na fitina na wasioheshimu ukweli, halafu wanakubali kutenda dhambi, 

kwa wao kutakuwa na hasira na ghadhabu kutoka kwa MUNGU. 

mateso, maumivu na uchungu itakuwa juu ya nafsi ya kila mtu anayetenda uovu. 

Romans 2 : 8 - 9

5/4/2023
wakati mtaizunguka mji kwa muda mrefu, na mpigane na wao ili muichukue, 

msikate miti ya hiyo mji, kwa kutumia shoka: kwa sababu nyinyi mtakula kutoka kwa hiyo miti: hivyo basi msizikate ili muweze kuendelea zaidi na vita, 

kwa maana hiyo mti kwenye uwanja ndio maisha ya mwanadamu. 

deuteronomy 20 : 19


Popular posts from this blog